Category: CATHOLIC LYRICS

This is a group that caters for the Catholics songs and lyrics

0

Alilipa Bei (I Hear the saviour Say) 119.

1.Yesu anasema, “Wewe huna nguvu Kesha ukaombe, Na uje, Mwanangu. Alilipa bei, Nawiwa naye; Dhambi ilitia waa, aliiondoa. 2. Bwana, nimeona Uwezo wako tu Waweza ‘takasa Mioyo michafu. 3. Sina kitu chema Kudai Neema,...

0

ZAWADI TOSHA by St. Francis of Assisi Kariobangi

Nimetunukiwa tuzo lenye thamani Nimeletewa zawadi toka mbinguni Nimejishindia Mwana wa Mungu Nimepewa Yesu zawadi tosha Ninashangilia naimba kwa furaha Ninarukaruka nacheza kwa furaha Napiga makofi na vigelegele Nimempata Yesu tuzo la ajabu (mimi)...

1

Zaeni Matunda Mema Lyrics by Fr. Songoro

Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale Zaeni yenye baraka, zaeni ya heri Bwana akiyapokea, yatabarikiwa vyema Zaeni matunda mema, zaeni ya heri Safisha mwenendo wako, safisha matendo yako Safisha na Bwana Yesu, safisha yote...