Category: Nyimbo za Injili

0

Usikatae Kazi 57:

Usikatae Kazi yake Bwana; Ukae tayari Kuifanya kazi; Uende po pote Mungu akwitapo, Nawe utaona Furaha kazini.   Njoo, We! Usiikatae; Njoo, We! Uifanye kazi; Usiikatae Kazi yake Bwana, Ili hatimaye usikatazwe juu.  ...