Category: nyimbo za kristo

0

Baba yetu aliye mbinguni 200

Baba yetu aliye mbinguni, amenifurahisha yakini, kuniambia mwake chuoni, ya kuwa nami Yesu pendoni. Anipenda Mwokozi Yesu, anipenda, anipenda; Anipenda Mwokozi Yesu, anipenda mimi. Nimuachapo kutanga mbali, yeye yu vivyo, hupenda kweli, hunirejeza kwake...

0

Upendo ni furaha 199

Upendo ni furaha ni kweli desturi Yake kuzisahihisha njia zetu zote Yu pendo tu watoto wake Yu pendo mwana wa Mungu Na sisi tupendane kama baba Mungu Amri yake ndiyo hii kupendana sana Duniani...

0

Kaza sana macho 198

Nilinawa mikono safi asubuhi, Itende kazi kutwa kwa Yesu Yesu Mwokozi. Kaza sana macho njiani kote, Utende kwa Yesu kazi njema tu. Natega masikio nitambue wasaa, Mikono na itende upole daima. Macho yangu yachunga...

0

Anipenda Ni Kweli no 197 Jesus Loves Me

Anipenda ni kweli: Mungu anena hili; Sisi wake watoto kutulinda si zito. Yesu Mwokozi ananipenda; Kweli hupenda, Mungu amesema. Kwa kupenda akafa niokoke na kufa: Atazisafi taka sana ataniweka. Anipenda kabisa; niuguapo sasa, Anitunza...

0

Vita vya thamani no 196

Kitambo Bwana yuaja, atafute kote Vito vya thamani kubwa: mali yake kuu. Kama nyota tajini vitang’aa sana, Vito vizuri kweli vyenye thamani. Karibu atakusanya vito kwa ufalme, Vizuri vinavyong’aa: mali yake kuu. Watoto wote...

0

Msingi Wa Kanisa 195

Msingi wa Kanisa Ndiye Yesu Bwana; Kiumbe chake kipya Akipenda sana; Kutaka ‘kitafuta Alishuka chini, Naye kwa haja yake, Akafa Mtini. Lina kila kabila Kisha ndiyo moja Wokovu wake una Mwokozi ndiyo moja; Uzazi...

0

Twaomba baraka zako 194

Twaomba, Bwana, umpokee Kama mhudumu; Ambaye anjitoa Kuwa mtumishi Twaomba, Bwana, umpokee Kama mhudumu; Neno lako alitoe, Mwangaza kung’aa wokozi wetu, twaomba, na umwandikie Kitabuni mwako juu Mjumbe wa injili. Silaha zake apewe Kumshinda...

0

Sauti Yake Mchungaji 193

Sauti ya Mchungaji, ninasikia jangwani, Kondoo waliopotea anwaita warudi.     Leteni, leteni, leteni toka dhambini;     Leteni, leteni, waleteni kwa Yesu. Nani atakeyekwenda amsaidie Mchungaji, Awarudishe zizini, wasife bure gizani?   Usikose kusikis sauti...

0

Mwamba wenye imara 192

Mwamba wenye imara, kwako nitajificha! maji hayo na damu, yaliyotoka humu, hunisafi na dhambi, hunifanya mshindi Kwa kazi zote pia , sitimizi sheria. nijapofanya bidii, nikilia nakudhii, hayaishi makosa: Ndiwe wa kuokoa. Sina cha...

0

Mkate wa mbingu 191

Mkate wa mbingu mega kwetu; Ulivyotoa kwa thenashara. Katika kitabu, twakuona. Moyo unatweta kukutana. Neno la ukweli libariki; Tusikie mwito wa upole. Vizuizi vyote vitakoma. Tena tutapata uungwana. Uzima na nguvu, utanena; Nakimbiliza tu...