Category: Nyimbo za zifa

3

Baba naomba kubarikiwa nawe – Isaac Kahura

Macho yangu, nayainua, Nibadilishe, Unibariki, baraka zako, haina huzuni, nizakudumu milele amina Baba naomba, kubarikiwa nawe, sitoki hapa usiponibariki Baba naomba, kubarikiwa nawe, sitoki hapa usiponibariki ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita, isreael maana yake, kubarikiwa...

0

NDIO YAKO Lyrics by Gloria muliro

Ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu Jinsi ya kumtendeaaa mwanadamu Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,ata tena ninsingekuwa mahali nilipo Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali Ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba oooh Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda Mimi nahitaji...

0

Usikatae Kazi 57:

Usikatae Kazi yake Bwana; Ukae tayari Kuifanya kazi; Uende po pote Mungu akwitapo, Nawe utaona Furaha kazini.   Njoo, We! Usiikatae; Njoo, We! Uifanye kazi; Usiikatae Kazi yake Bwana, Ili hatimaye usikatazwe juu.  ...

0

Nipe Biblia No. 52

Nipe Biblia nyota ya furaha, wapate nuru wasafirio; Hakuna la kuzuia amani, Kwani Yesu alituokua.   Nipe Biblia neno takatifu, Nuru yake itaniongoza; Sheria na ahadi na upendo, Hata mwisho vitaendelea.   Nipe Biblia...